Dakika 39 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 3 Wakati Tanzania ikitarajiwa kusherehekea Eid El-Fitri kesho Jumamosi, Machi 21, 2026, baada ya kutokuwepo kwa muandamo wa mwezi wa Shawwal, nchi nyingi duniani zinasheherekea sikukuu hiyo leo Ijumaa. Taarifa ya Mufti wa Tanzania ilithibitisha kuwa mwezi haukuonekana, hivyo Waislamu nchini watakamilisha siku 30 za Ramadhani kabla ya