BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Uingereza inashirikiana na washirika wake kupata njia muafaka ya kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz
Starmer amesema Mlango Bahari wa Hormuz lazima ufunguliwe tena ili "kuhakikisha utulivu katika masoko".
Mataifa ya Afrika yanavyohaha kunusuru raia wao kupigana vita
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ukraine, zaidi ya Waafrika 1,700 wanapigana upande wa Urusi katika vita vinavyoendelea.
Chanzo cha uhasama kati ya Marekani na Cuba
Kutoka Washington, mpango mpya wa siri unaoitwa Operesheni Mongoose ulitekelezwa ili kufanikisha kile ambacho uvamizi wa Bay of Pigs ulishindwa kutimiza.
'Tutawafuata popote wanapojificha': Mapambano dhidi ya Dola la Kiislamu Somalia
IS-Somalia iliwafukuza al-Shabab kutoka milima ya al-Miskad ya Puntland, na kuwaleta wapiganaji wa kigeni na polepole kuwa kitovu cha mafunzo na kifedha kwa mtandao mpana wa IS.
Kituo kipya cha watoto njiti chatoa matumaini kwa familia za Tanzania
Katika Wilaya ya Kwimba, baadhi ya watoto huzaliwa mapema wakiwa na uzani mdogo sana, wakati mwingine chini ya kilo mbili, hali inayoweka maisha yao hatarini.
Eid ul-Fitr: Sherehe hii ina umuhimu gani kwa waumini wa dini ya Kiislamu?
Eid ul-Fitr husherehekewa mwishoni mwa mwezi wa Ramadhan ikiendana na mwezi wa tisa ya kalenda ya kiislamu.
Makadirio mabaya ya Donald Trump kuhusu vita vya Iran
Aidha Trump hakutilia maanani kuwa kupanda kwa bei ya mafuta duniani, kutaiongezea Urusi mapato na kuisaidia kuimarika kiuchumi na katika vita dhidi ya Ukraine.
Hatujaomba kusitisha vita na hatuoni sababu - Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema nchi hiyo ‘haijawahi kuomba kusitishwa kwa vita’ katika vita vinavyoendelea kaati yake na nchi za Israel na Marekani.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Chelsea kuharakisha usajili wa Messi
Chelsea inaweza kuharakisha mipango ya kumsajili winga wa Ufaransa Rayane Messi, 18, kutoka Strasbourg huku Bayern Munich, Barcelona na Paris St-Germain pia zikimtaka. (Teamtalk)
Roboti zenye silaha zinavyotumika kwenye uwanja wa vita nchini Ukraine
Ukraine imeanza mpango wa kupeleka roboti zenye silaha kwenye uwanja wa vita dhidi ya vikosi vya Urusi.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kiongozi mkuu mpya wa Iran aapa kuendelea kuzuia kupita kwa meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz
Ujumbe huo kutoka kwa kiongozi mpya wa Iran Mojtaba Khamenei umesomwa na mtangazaji katika runinga ya taifa ya Iran.
Mashambulizi ya anga yasababisha 'mvua nyeusi' ambayo haijawahi kushuhudiwa Tehran, wanasayansi wanasema
Mashambulizi ya anga yame haribu takribani vituo vinne vya mafuta tangu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yalipoanza mwezi uliopita.
Aliko Dangote aongoza orodha ya watu matajiri zaidi Afrika 2026
Klabu ya mabilionea barani Afrika inazidi kutajirika huku masoko ya hisa yakipanda na sarafu zikitengemaa katika bara zima, utajiri wa viongozi wakuu wa biashara katika eneo hilo umeongezeka.
Wapiganaji wa Kikurdi: Kifahamu kikosi cha siri cha jeshi la wanawake pekee
Huku mashambulizi ya Marekani na Israel yakiendelea, uvumi unaongezeka kwamba makundi ya Wakurdi wa Iran walio na silaha walioko nchini Iraq hivi karibuni huenda wakavuka mpaka na kuingia vitani dhidi ya jamhuri ya Kiislamu. BBC imetembelea kundi moja la wapiganaji wa Kikurdi - kikosi cha wanawake wote.
Kilichotokea katika nchi ambazo Marekani iliingilia kijeshi Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini
Katika miongo ya hivi karibuni, Marekani imeingilia kijeshi katika nchi kadhaa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, wakati mwingine kama mhusika mkuu na nyakati zingine ambapo imekuwa na jukumu maalum zaidi.
Silaha zenye nguvu ambazo Marekani inatumia kushambulia Iran
Marekani imeishambulia Iran kwa kutumia droni za aina ya MQ 9 Reaper, ambazo zina uwezo wa kufanya uchunguzi pamoja na mashambulizi.
Wafahamu viongozi wakuu wa Iran waliouawa katika shambulio la Marekani ikishirikiana na Israel
Jeshi la Israel lilisema liliwauwa viongozi wakuu 40 wa jeshi la Iran
Mzozo wa DRC: Kuuawa kwa Willy Ngoma kunaashiria nini?
Msemaji huyo aliuawa kupitia shambulio la angani lililotekelezwa na FARDC eneo la Rubaya Jumanne usiku, shambulio ambalo liliwaacha viongozi kadhaa wa M23 na majeruhi.
Fahamu mfumo wa utawala wa Iran
Kiongozi wa kidini ndiye kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran na anadhibiti vyombo vyote vya usalama.
Sudan: Pande zinazozozana zina sababu ya kuendelea kupigana
Historia inaonyesha kwamba vita vyote vya Sudan vimekuwa vya muda mrefu na kudumu hadi miaka 20.
Marekani ilitumia torpedo ya aina gani kuzamisha meli ya Iran?
Shambulio la torpedo lililoipiga meli ya kivita ya Iran katika Bahari ya Hindi ilirushwa kutoka kwa manowari USS Charlotte.
Vita vya Israel, Marekani na Iran: Kwa nini Urusi haisaidii Iran?
Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vimeiweka Urusi katika hali isiyoeleweka akini Vladimir Putin alikosoa mauaji ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 16 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 16 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 16 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 13 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






























































